AU Institutional Repository

Utandawazi kama Tisho kwa Lugha za Kiafrika

Show simple item record

dc.contributor.author Kandagor, Mosol
dc.contributor.author Mahero, Toboso
dc.date.accessioned 2024-11-12T07:49:31Z
dc.date.available 2024-11-12T07:49:31Z
dc.date.issued 2010
dc.identifier.uri http://41.89.205.12/handle/123456789/2477
dc.description Ulimwengu una lugha takribani elfu sita. Hata hivyo, nyingi katika lugha hizi zimo katika hatari ya kuangamia. Inasemekana kwamba lugha moja ya ulimwengu huangamia katika majuma mawili. Nchini Kenya, lugha za Kisengwer, Kisuba na Kielmolo zimo katika hatari ya kuangamia. Ingawaje lugha nyingi za ulimwengu zinakabiliwa na changamoto za kuishi, Kiswahili kimo mbioni kukua na kupanuka. Sasa hivi, Kiswahili kimekuwa lugha ya ulimwengu na kinatekeleza majukumu muhimu ya kiuchumi, kisiasa na kijamii. Usambaaji wa kasi wa Kiswahili katika eneo la Maziwa makuu Afrika unatokana na mazingira mwafaka ya ukuaji ambayo yamekuwepo tangu wakati kabla ya ukoloni wa mataifa ya Afrika Mashariki. Makala hii inachunguza utandawazi unavyotishia uwepo wa lugha za Kiafrika. Lugha zinazoangamia zimeanishwa katika makundi matatu - lugha zilizoangamia, lugha zilizolala na lugha zilizo katika hatari ya kuangamia. Athari za utandawazi kwa uhai, usambaaji na matumizi ya lugha mbalimbali ulimwenguni zimejadiliwa kwa kuangazia nyanja za elimu, uchumi, mawasiliano, siasa na hata utamaduni. Hoja inayojengwa ni kwamba jitihada za makusudi zinapasa kutekelezwa ili kuzinusuru lugha za Kiafrika zinazokabiliwa na tishio la maangamizi. Imebainika kwamba uhifadhi wa lugha ni muhimu kwa kuwa lugha huwasilisha utamaduni, hutambulisha na, ni sehemu muhimu ya amali za watu. en_US
dc.description.abstract Ulimwengu una lugha takribani elfu sita. Hata hivyo, nyingi katika lugha hizi zimo katika hatari ya kuangamia. Inasemekana kwamba lugha moja ya ulimwengu huangamia katika majuma mawili. Nchini Kenya, lugha za Kisengwer, Kisuba na Kielmolo zimo katika hatari ya kuangamia. Ingawaje lugha nyingi za ulimwengu zinakabiliwa na changamoto za kuishi, Kiswahili kimo mbioni kukua na kupanuka. Sasa hivi, Kiswahili kimekuwa lugha ya ulimwengu na kinatekeleza majukumu muhimu ya kiuchumi, kisiasa na kijamii. Usambaaji wa kasi wa Kiswahili katika eneo la Maziwa makuu Afrika unatokana na mazingira mwafaka ya ukuaji ambayo yamekuwepo tangu wakati kabla ya ukoloni wa mataifa ya Afrika Mashariki. Makala hii inachunguza utandawazi unavyotishia uwepo wa lugha za Kiafrika. Lugha zinazoangamia zimeanishwa katika makundi matatu - lugha zilizoangamia, lugha zilizolala na lugha zilizo katika hatari ya kuangamia. Athari za utandawazi kwa uhai, usambaaji na matumizi ya lugha mbalimbali ulimwenguni zimejadiliwa kwa kuangazia nyanja za elimu, uchumi, mawasiliano, siasa na hata utamaduni. Hoja inayojengwa ni kwamba jitihada za makusudi zinapasa kutekelezwa ili kuzinusuru lugha za Kiafrika zinazokabiliwa na tishio la maangamizi. Imebainika kwamba uhifadhi wa lugha ni muhimu kwa kuwa lugha huwasilisha utamaduni, hutambulisha na, ni sehemu muhimu ya amali za watu. en_US
dc.description.sponsorship Alupe University en_US
dc.language.iso en en_US
dc.publisher Jarida la CHAKITA en_US
dc.subject Utandawazi, Lugha, Kenya, Jamii en_US
dc.title Utandawazi kama Tisho kwa Lugha za Kiafrika en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search Repository


Browse

My Account