dc.contributor.author |
Kandagor, Mosol |
|
dc.contributor.author |
Mahero, Toboso |
|
dc.date.accessioned |
2024-11-12T07:36:57Z |
|
dc.date.available |
2024-11-12T07:36:57Z |
|
dc.date.issued |
2019 |
|
dc.identifier.uri |
http://41.89.205.12/handle/123456789/2476 |
|
dc.description |
Kwa muda mrefu, lugha imekua ikitambulika kama ala ya kimsingi ya kufikiria, kufanikisha mawasiliano, kutambulisha, kuasilisha utamaduni na katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Hta hivyo, maendeleo ya kisiasa na uvumbuzi wa teknolojia mya za mawasiliano ulimwenguni yameleta mielekeo mipya katika matumizi ya lugha. Sasa, lugha inatumiwa kwa njia zinazoidhihirisha na kuibainisha kama silaha ya kudhuru au hata kuangamiza. Katika historia ya mataifa, Lugha imetumiwa katika maeneo mbalimbali katika kuanzisha vita, kuhujumu na hata kushawishi watu kufanya uhalifu. Kuzuka kwa intaneti kumesababisha kuibuka kwa mielekeo mipya ya usilahaishaji wa lugha. Majukwaa ya Twitter, Facebook, Instagram, Telegram na Whasapp yamewapa watumizi wa mitandao hii fursa ya kutumia lugha kwa njia ya kibunifu na kusababisha usilahaishaji wa lugha kwa njia ya kipekee. Tafiti zim,efanywa kuhusu uhalifu wa mitandaoni. Hata hivyo, suala la lugha na usilahaishaji wake halijashughulikiwa usilahaishaji wa lugha katika majukwaa ya mitandao ya kijamii. Imebainika kwamba uhuru wa matumizi ya lugha katika mitandao hii imesababisha matumizi mabaya ya lugha. |
en_US |
dc.description.abstract |

dc.description.sponsorship |
Alupe University |
en_US |
dc.language.iso |
en |
en_US |
dc.publisher |
Mwanga wa Lugha |
en_US |
dc.subject |
Usilahaishaji, Lugha, Intaneti, Teknolojia |
en_US |
dc.title |
Usilahaishaji Lugha katika Intaneti kama Tisho kwa Umoja wa Kitaifa |
en_US |
dc.type |
Article |
en_US |