dc.contributor.author |
Mahero Toboso, Bernard |
|
dc.contributor.author |
Kandagor, Mosol |
|
dc.date.accessioned |
2024-11-12T06:39:43Z |
|
dc.date.available |
2024-11-12T06:39:43Z |
|
dc.date.issued |
2018 |
|
dc.identifier.uri |
http://41.89.205.12/handle/123456789/2474 |
|
dc.description |
Upishanaji zamu ni mkakati maarufu katika mawasiliano ya ana kwa ana. Hii ni miafaka ambayo hutawala mawasiliano na kuasaidia wazungumzaji kuasiliana bila kuwepo kwa mizozo ya kizamu. Facebook, hata hivyo, ni mtandao unaotawaliwa na mawasiliano ya kimaandishi. Ingawaje ni hivyo, mawasiliano hayo huwa ya kiamajibizano kama yale ya mazungumzo ya ana kwa ana Utafiti huu unatalii mawasiliano ya Facebook na kuchanganua mbinu za marafiki za kupishana zamu ya mawasiliano. Matokeo yake yatasaidia kutoa fahamishso la viashiria vya mwisho na mwanzo wa tamko katika mawasiliano ya Facebook ikikumbukwa kwamba mawasiliano ya Facebook ni ya kimaandishi japo yana sifa za mazungumzo ya ana kwa ana |
en_US |
dc.description.abstract |

dc.description.sponsorship |
Alupe University |
en_US |
dc.language.iso |
en |
en_US |
dc.publisher |
Mwanga wa Lugha |
en_US |
dc.subject |
Upishanaji Zamu, Mawasiliano, Viashiriria, Facebook |
en_US |
dc.title |
Mikakati ya Upishaji na Unyakuzi wa Zamu katika Mawasiliano ya Facebook |
en_US |
dc.type |
Article |
en_US |