dc.contributor.author |
Nzilani Musembi, Naomi |
|
dc.contributor.author |
Mahero, Toboso |
|
dc.date.accessioned |
2024-11-08T12:04:12Z |
|
dc.date.available |
2024-11-08T12:04:12Z |
|
dc.date.issued |
2022-06 |
|
dc.identifier.uri |
http://41.89.205.12/handle/123456789/2450 |
|
dc.description |
Fasihi simulizi ni fani hai inayotekeleza majukumu muhimu katika karne ya 21.
Kama ukumbusho wa maadili ya watu, fasihi simulizi hutoa mwonoulimwengu wa
jamii na kutokana nayo, hali ya maisha ya kila siku huendelezwa. Wanajamii hueleza
hali yao ya maisha, utamaduni wao, maoni, mitazamo, imani na mila zao kupitia kwa
utanzu huu hasa kipera cha nyimbo. Katika jamii ya Wakamba, fasihi simulizi
inatumika kuelezea mielekeo na falsafa kuhusu maisha ya wanajamii. Nyimbo ni
mojawapo ya fani hai ya fasihi simulizi na hubadilika kadiri hali ya maisha
inavyobadilika. Mabadiliko yanayoikumba jamii kwa njia moja au nyingine
hujidhihirisha katika fasihi. Maadili yalikuzwa na hata sasa yanakuzwa kupitia
nyimbo hasa za jando katika jamii ya Wakamba. Katika karne hii ya 21, jamii
inakumbwa na matatizo mengi hususani magonjwa yasiyo na tiba, uraibu wa dawa
za kulevya, ukosefu wa kazi kwa vijana , uabudu shetani, vita vya wenyewe kwa
wenyewe miongoni mwa matatizo mengine. Ili kupambana na changamoto hizi, ni
muhimu kuwa na nyenzo za mawasiliano zinazoweza kutumiwa kuwafahamisha
wanajamii jinsi ya kukabiliana nazo. Nyimbo za jando ni miongoni mwa njia hizi
kwani kupitia kwazo, ujumbe unaweza kuwasilishwa vyema zaidi kuhusiana na
namna ya kukabiliana na matatizo hayo. Hivyo basi, lengo la makala haya ni
kuonesha kuwa, fasihi simulizi hasa nyimbo za jando bado zina dhima muhimu katika
jamii inayobadilika. |
en_US |
dc.description.abstract |

dc.description.sponsorship |
Alupe University |
en_US |
dc.language.iso |
en |
en_US |
dc.publisher |
Jarida la Taasisi ya Taaluma za Kiswahili |
en_US |
dc.title |
Nafasi ya Fasihi Simulizi katika Karne ya 21: Tathmini ya Nyimbo za Jando za Jamii ya Wakamba |
en_US |
dc.type |
Article |
en_US |